SERIKALI YAANZA SAFARI UTOAJI TUZO ZA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO

Serikali imeanza safari ya utoaji tuzo mbalimbali kwa wadau wa sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo zitakazoenzi vipaji na mafanikio katika sekta hizo.Hayo yameelezwa jana usiku wa Julai 3, 2021, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliyemwakilisha